Matatu stickers are loaded with phrases that will not only make you think twice but also leave you in stitches.
- Ukisema shukisha dere wewe utaendesha gari
- Ukiwa na kumi nunua avovado upake miguu uteleze mpaka town.
- Uniite makanga kwa gari lakini kwangu naitwa sweetie.
- If you miss the driver kiss the conductor.
- Kama una haraka shuka ukimbie.
- Unasema gari halina watu, wewe umekuja na wangapi?
- Hakuna stage inaitwa hapo dere.
- Hakuna stage ya kumi.
- Dere ako na bibi donda anatafuta.
- Kuchafua gari ni 50, kutapika ni 200, kushuta ni sare.
- Kulipa fare ni lazima, change ni kungojea.
- Ujinga in kuambia conductor shukisha na umekaa mbele na driver.
- Kama hutaki kukalia kiti ya nyuma basi ng'oa uweke mbele.
- Hata nyanya yako alikuwa manzi.
- Hatusemi wewe ni mnono lakini ukikalia viti mbili lipia.
- When women are done with men, they turn to God.