Bset Michongoano Ever
- Ati nyumba yenu ni round na bado mnapigania ati mwenye atalala kwa corner.
- Kichwa yako iko shapeless kaa Conner za jungu
- We ni mrefu hd ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo kama imeganda
Other articles
- Aty uko na kisogo sharp ukienda kinyozi unamaliziwa kunyolewa na sharpener…
- we ni mshamba ulibuy balgum kupewa ya green ukambia mtu wa duka ‘hii haijaiva’
- Aewe ni mdark hadi ukipigwa picha inaandikwa scratch to reveal
- ati meno zako zina spaces mob mpaka ulimi yako inakaa ni kama iko kwa jela
- Ati we ni mjinga hadi ukitembea kivuli yako huenda ka ina tingisha kichwa
- Msee umekonda hadi ukienda swimo uvae swimming costume unakaa kama Sim-Card ya 4G
- Mbwa zenu ni noma hadi wagondi wakiingia zinaanza kuimba “teren teren”
- Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya
- Ati TV yenu ni small mpaka iko na scrollbars.
- Hao yenyu ni ndogo, ukiingia, umetoka.
- Wewe mweusi mpaka ukirushiwa mawe, mawe inarudi kuitisha torch
- Wewe mgondi mpaka ukishikilia ten bob Moi anabaki na vest peke yake
- Budako ni fala alienda airport akauliza kama kuna ndege pick-up
- Budako fala alipaint aerial ya TV yenu ndiyo ireceive color
- Wewe ni bowlegged na manzi wako ni knock-kneed, mukisimama pamoja muna spell ‘OX’
- Paka wenu ni mnoma mpaka aki shika panya inaitisha chumvi
- Nyinyi ni mababi mpaka mnapikanga chapo na Robb ndio zikue chapo menthol
- Wewe ni mblack mpaka ukikutana na mzungu morning anakushow ‘good evening?”.
- Ngombe yenu ni mzee mpaka inatoanga yogurt.
- Nyinyi kwenu mumesota mpaka mna-kunywanga chai kwa kifuniko ya Bic.
- Budako ni fala, alienda kubuy ngombe akaona ikikojoa akasema, sitaki hiyo, imetoboka.
- Nyanyako mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora.
- TV yenyu ndogo mpako mukiwatch 100m athletics munalizia kuiona kwa ma neighbours.
- Doggy yenu noma, inabark ikitweng ‘werf!! werf!!”
- Budako mrefu mpaka anauza mahindi kwa watu kwa plane
- ati wewe mweusi mpaka unaacha fingerprints zako kwa makaa
- ati mathako mnono akivaa nguo ya yellow watu hufikiria ni taxi
- we ni mweusi mpaka mabeste wakikupita wanasema”haiya cheki shortcut!”
- Brother yako ako na skin tight mpaka aki-wink mguu moja inainuka
- Nyi muko wengi hadi mukipigwa family photo wengine wanahang kwa frame
- ati wewe ni mweusi mpaka badala ya wasee kukuita wao huimba ile advert ya kiwi” hebu jitokeze , jionyeshe simama mbele ya watu…”
- “Ebu Post Yako Hapa Tucheke Woke”